Zuri alijiunga na shule ya msingi bora ,kwa mara ya kwanza ,mambo yalienda kinyume na matarajio yake .Hakuwa amefanya urafiki na mwanafunzi yeyote .Alipopatana na Wangeci ,Achieng na Chebet ,alielewa maana mpya ya Rafiki . Jiung na marafiki hawa wanne uelewe urafiki unaozidi rangi ,maumbile na kabila.
Rafiki by Hellen Kimaru
KESÂ 995.00Price














