#AFRICANSLOVETOREAD up to 80% off on selected books. LIMITED TIME OFFER
Hadithi inamwonyesha chura mdogo anayetamani kupepea kama ndege, lakini anapojifunza kutoka kwa kipepeo kuwa kila mtu ana uwezo wake maalum,anaanza kujiamini na kuridhika na uwezo wake mwenyewe